Rais wa Marekani Donald Trump amejikuta katika wakati mgumu baada ya kushindwa kujibu swali aliloulizwa na Mwandishi wa habari na badala yake kuamua kuondoka mbele ya Camera.

Trump aliulizwa kuwa  “Why is this a global competition to you if every day Americans are still losing their lives and we’re still seeing more cases?”

“Kwanini Wamarekani wengi wanazidi kupoteza maisha yao kutokana na Corona na bado tunaendelea kuona kesi nyingi za watu wenye Corona?

Trump alimjibu hapaswi kuulizwa kwanini Wamarekani wengi wanazidi kupoteza maisha wakati sehemu nyingi duniani watu wanapoteza maishahivyo sio swala la ajabu huku akisisitiza kuwa swali hulowanapaswa kuulizwa China kwa kuwa wao ndio wameleta Corona na sio Yeye.

Baada ya kuona mwandishi anahitaji kujiwa swali lake Trump akaona isiwe tabu akaamua kuondoka zake.

View this post on Instagram

Rais wa Marekani Donald Trump amejikuta katika wakati mgumu baada ya kushindwa kujibu swali aliloulizwa na Mwandishi wa habari na badala yake kuamua kuondoka mbele ya Camera. Trump aliulizwa kuwa "Why is this a global competition to you if every day Americans are still losing their lives and we’re still seeing more cases?” "Kwanini Wamarekani wengi wanazidi kupoteza maisha yao kutokana na Corona na bado tunaendelea kuona kesi nyingi za watu wenye Corona? Trump alimjibu hapaswi kuulizwa kwanini Wamarekani wengi wanazidi kupoteza maisha wakati sehemu nyingi duniani watu wanapoteza maisha hivyo sio swala la ajabu huku akisisitiza kuwa swali hilo wanapaswa kuulizwa China. Baada ya kuona mwandishi anahitaji kujiwa swali lake Trump akaona isiwe tabu akaamua kuondoka zake. (📹 via C-SPAN) written by @el_mandle

A post shared by bongo5.com (@bongofive) on

The post Trump akimbia swali la mwandishi na kusema, Wamarekani wengi kupoteza maisha kwa Corona iulizwe China – Video appeared first on Bongo5.com.