Msanii wa muziki wa Bongo Fleva aliyopo chini ya lebo ya Kings Music inayosimamiwa na Alikiba ameeleza mipango yake ya kazi pia jinsi utaratibu ulivyo wa kufanya kazi na wasanii wa WCB lebo inayosimamiwa na DIamond Platnumz.

The post Tommy Flavour wa Kings music aeleza mipango yake ya kufanya kazi na wasanii wa WCB – Video appeared first on Bongo5.com.