Balozi wa EU wameahidi kutoa Dola Milioni 38 ambazo zitakuja kutusaidia baada ya janga hili, aidha serikali ya Sweden itatuongezea Dola Milioni 20 kusaidia bajeti ya elimu na Dola Milioni 10 kwa ajili ya TASAF – Prof. Palamagamba Kabudi

The post Tanzania yapongezwa vita ya Corona, mabilioni yamwagika (+Video) appeared first on Bongo5.com.