Aliyekuwa msanii wa Bongo Fleva SUMA LEE ametoa siri ambayo watu wengi hawajui jinsi Diamond alivyokutana na Mameneja wake Wote.

Akiongea katika kipindi cha #TheSwitch kinachoruka Wasafi Fm Suma Lee amesema kuwa @sallam_sk alikuwa hapendi muziki wa kuimba alikuwa anapenda muziki wa Hip hop lakini MR NICE ndio alimfanya aupende muziki huo.

Suma Leo ameongeza kuwa @sallam_sk alitaka kuwasimamia kwa pamoja @officialalikiba na @diamondplatnumz lakini ilishindikana baada ya @sallam_sk kukutana na @officialalikiba

The post Sumalee: “Alikiba na Diamond laziam niimbe nao kwenye Qaswida moja, Sallam alitaka kumsimamia Kiba” – Video appeared first on Bongo5.com.