Manchester United imeripotiwa kufikia makubaliano na klabu ya Lyon ya kumsajili mshambuliaji, Moussa Dembele kwa dau la paundi milioni 61.8.

Man United confident of Moussa Dembele deal | Stretty News

Manchester United imekamilisha mazungumzo hayo na Lyon dhidi ya nyota huyo hatari, Moussa Dembele wakati huu ambao inadaiwa kocha Ole Gunnar Solskjaer amekuwa katika kibarua kizito cha kutafuta mshambuliaji atakayeweza kuziba pengo la Romelu Lukaku, ambaye ametimkia Inter Milan mwaka uliyopita.

Manchester United inaonekana kama kuipiku Chelsea dakika za lala salama katika mbio hizo za kumuania mchezaji huyo , kwa kuwa miamba hiyo ya Stamford Bridge ilihitaji huduma ya nyota huyo.

United imeshatenga dau hilo la paundi milioni 61.8 kwa Dembele mwenye umri wa miaka 23, ambaye amefunga jumla ya magoli  42 katika michezo 88 aliyocheza tangu kujiunga na klabu ya Lyon akitokea Celtic mwaka 2018.

Bayern Munich wanatafakari kuwasilisha ofa ya zaidi ya paundi milioni 50 kumsajili winga wa Manchester City Leroy Sane. (Telegraph)

b

Manchester United wanataka kiungo wa kati wa miaka 16 Jude Bellingham kucheza katika kikosi cha kwanza wakifanikiwa kumsajili kutoka Birmingham City msimu huu. (Evening Standard)

Barcelona wameweka dau la £53m dhidi ya mshambuliaji wa Ufaransa wa miaka 22- Ousmane Dembele, ambaye walimsajili kwa mkataba wa £135.5m. (Marca, via Star)Barcelona wameweka dau la £53m dhidi ya mshambuliaji wa Ufaransa wa miaka 22- Ousmane Dembele,Barcelona wameweka dau la £53m dhidi ya mshambuliaji wa Ufaransa wa miaka 22- Ousmane Dembele

Vilevile Barcelona imefanya mazungumzo na Juventus kuhusu usajili wa beki wa Italia Mattia de Sciglio, 27, kutoka upande wa Serie A baada ya mazungumzo ya mkataba na beak wa Portugal Nelson Semedo, 26, kugonga mwamba. (Marca)

Tottenham imetangaza mango wa kumuuza beki wake Juan Foyth na Barcelona wameonesha Ina ya kutaka kumnunua kiungo huyo wa miaka 22-kutoka Argentina. (Mirror)chelsea

Chelsea wako tayari kumuuza kiungo wa kati Mfaransa Tiemoue Bakayoko, 25, kwa £31m lakini Paris St-Germain hawataki kutumia zaidi ya £26.5m kumsajili. (Le10 Sport, via Star)

Kiungo wa kati wa Bayer Leverkusen Kai Havertz, 20, amehusishwa na totes za kujiunga na Chelsea, Liverpool na Manchester United lakini mchezaji wa zamani wa kimataifa wa Ujerumani Michael Ballack ameshauri asiondoke Katina klabu yake ya sasa. (Football London)kipa wa Everton Mholanzi Maarten Stekelenburg,Kipa wa Everton Mholanzi Maarten Stekelenburg

Everton wanajiandaa kumuachia kipa wao Mholanzi Maarten Stekelenburg, 37, kuondoka katana wake ukimalizika mwisho wa msimu huu ili kumtafuta kipa mwengine.

The post Striker mpya kutua Old Trafford muda wowote, United yakamilisha mchongo mzima, yaifanyia umafia Chelsea appeared first on Bongo5.com.