Rapper wa Bongo Fleva na mmoja ya wasanii wanaounda kundi la ROSTAM @staminashorwebwenzi amefunguka mengi sana kuhusu ngoma yao mpya na @roma_zimbabwe ya #Kakatuchat.

Stamina ameeleza jinsi wazo la ngoma hiyo ya kaka tuchat ilivyokuja na kusema kuwa chanzo hasa kilikuwa ni maswali waliyokuwa wanaulizana na Roma yeye akiwa Tanzania na Roma akiwa Marekani na kikubwa walichokuwa wakiuliza ni kuhusu gonjwa la Corona.

 

The post Stamina: “Wazo la Kaka tuchat tulilifanyika kazi zaidi ya mwezi, Lilitokana na maswali tunayoulizana kuhusu Corona” – Video appeared first on Bongo5.com.