Msanii wa muziki wa Bongo Fleva ambaye ni mwana hiphop kutokea katika kundi la ROSTAM Stamina ametolewa ufafanuzi kuhusu mwananmke anayeonekana kwenye video ya KAKA TUCHAT akiwa na Roma ambaye amehusishwa kama ni dongo kwa mke wake aliyemuacha.

The post Stamina: kuhusu mwanamke mjamzito kwenye video, Je..? Ni dongo kwa aliyekuwa mke wake – Video appeared first on Bongo5.com.