Rapper wa Bongo Fleva na mmoja ya wasanii wanaounda kundi la ROSTAM @staminashorwebwenzi amefunguka mengi kuhusu ngoma yao mpya na Roma Mkatoliki ya ‘Kaka Tuchat.

Stamina ametoa ufafanuzi kuhusu baadhi ya mistari iliyopo kwenye ngoma hiyo mfano kuwambia Roma kuwa kuna mchezaji wa Yanga anamtaka mke wake, lakini pia ametolea ufafanuzi kuhusu mchezaji wa Simba aliyeharibu ndoa yake.

 

The post Stamina aeleza kuhusu Mchezaji wa Yanga anayemtaka mke wa Roma pia wa Simba aliyeharibu ndoa yake – Video appeared first on Bongo5.com.