Msanii wa muziki wa Bongo Fleva na mjasiriamali laimaarufu Mamantilie @officialshilole na Mtangazaji wa Clouds @masoudkipanya leo wamepewa Ubalozi wa kampeni mpya ya ‘Naweza’ inayosimamiwa na Smart Generation inayoongozwa na Mtangazaji pia wa CloudsFm @officialCza wa pamoja na Msanii wa Bongo Fleva anayetokea katika kundi la Weusi @nikkwapili.

Baada ya kutambulishwa kuwa Balozi mpya wa NAWEZA Shilole alipata nafasi ya kuwashauri akina mama wote na kusema “Wanawake tusimame imara kwa ajili ya Watoto wetu, Wanaume hawawezi, mimi naweza kweli ndio maana nimeisimamia Familia yangu, nikisema nataka kupata mimba ya Uchebe nitaenda Clinic mapema, kuna faida ya kuwahi Clinic”

 

The post Shilole: Akina baba nendeni na wake zenu klinic, Bebeni mikoba yao pigeni nao Selfie mpost” – Video appeared first on Bongo5.com.