Kupitia ukurasa wa Msemaji mkuu wa Serikali ya Tanzania wa Twitter umepost ujumbe huu:-
“Huu ni uandishi au “uhandisi” wa habari? Inasikitisha kuona jinsi @ntvkenya inavyokuwa wakala wa uongo na uzushi. Nawakumbusha wazandiki hawa kuenzi misingi ya taaluma badala ya umaamuma”
Huu ni uandishi au "uhandisi" wa habari? Inasikitisha kuona jinsi @ntvkenya inavyokuwa wakala wa uongo na uzushi. Nawakumbusha wazandiki hawa kuenzi misingi ya taaluma badala ya umaamuma. pic.twitter.com/aZmoGzAv8V
— Msemaji Mkuu wa Serikali (@TZMsemajiMkuu) April 30, 2020
The post Serikali ya Tanzania yakanusha vifo 50 vya Corona vilivyoripotiwa Kenya appeared first on Bongo5.com.