Rapper wa kike kutoka katika kiwanda cha muziki wa Bongo Fleva Rosa Ree amefunguka mengi kutoka kwenye maisha yake ya sanaa na hata nje ya sanaa.

Rosa Ree ameeleza kuwa yeye ni miongoni mwa wasanii waliokatishwa tamaa kuwa hawawezi kurapp kwa sababu tu ni mwanamke na kuambia Rapp ni kwa ajili ya wanaume.

Aliongeza kuwa aina yake ya tofauti ya uimbaji aliamua kuitengeneza kwa sababu hakutaka kufafa na mtu yeote.

Akizungumzia kuhusu wimbo wake mpya na Rayavanny Sukuma Ndinga amesema kuwa umefanikiwa sana na kupokelewa vizuri duniani kote hadi Marekani.

 

 

The post Rosa Ree: “Wimbo wetu wa Sukuma Ndinga na Rayvanny umepokelewa vizuri Marekani” – Video appeared first on Bongo5.com.