Wafanyabiashara sita wa Halmashauri ya Mtama mkoani Lindi wanashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa kosa la kuuza sukari kinyume na bei elekezi iliyotolewa na serikali hali inayosababisha baadhi ya wananchi kutomudu garama hizo.
Video Credit by Azam Tv
The post RC Lindi alivyoingia mtaani kuisaka Sukari (+Video) appeared first on Bongo5.com.