“Tulipeleka Sampo ya Ndege Kware ilikuwa Positive, Mbuzi akawa Positive, Kondoo akawa Negative, ukishaona sampo ukamwambia huyu ni binadamu halafu ana Corona maana yake Mapapai yote yangewekwa Isolation.

Tulipopeleka sampo ya Papai tukaipa jina la Elizabeth (26) Papai lile lilikuwa Positive kwamba lina Corona, maana yake maji ya Papai ni Positive.””Tulichukua sampo za Mbuzi, Kondoo, Papai, Oil ya gari tukavipeleka maabara na tukazipa majina, mfano Oil tuliipa jina la Jabir Hamza (30), ili leta Negative, sampo ya Fenesi tuliipa jina la Sarah Samweli (45), matokeo inconclusive.”

The post Rais Magufuli: “Tulipelekea sampo za Mbuzi mapapai na ndege maabara yakakutwa na Corona” – Video appeared first on Bongo5.com.