Rais Magufuli anasikitika kutangaza kifo cha Waziri wa Katiba na Sheria, Balozi Dkt.Augustine Mahiga(Mbunge) kilichotokea leo alfajiri Mei 01,2020 Dodoma, Balozi Mahiga ameugua ghafla akiwa nyumbani kwake Dodoma na amefikishwa Hospitali akiwa tayari ameshafariki.
“Pamoja na umri wake mkubwa na uzoefu wa kushika madaraka katika nyadhifa mbalimbali za Kitaifa na Kimataifa, Marehemu Balozi Mahiga, alikuwa mnyenyekevu na mtiifu kwa kila jukumu nililomtuma”
#TANZIA: Rais Magufuli anasikitika kutangaza kifo cha Waziri wa Katiba “Pamoja na umri wake mkubwa na uzoefu wa kushika madaraka katika nyadhifa mbalimbali za Kitaifa na Kimataifa, Marehemu Balozi Mahiga, alikuwa mnyenyekevu na mtiifu kwa kila jukumu nililomtuma”-JPM#RIPMAHIGA🙏 pic.twitter.com/DKsdXPxxxY
— bongo5.com (@bongofive) May 1, 2020
The post Rais Magufuli amlilia waziri Mahiga aliyefarikia dunia asubuhi ya leo appeared first on Bongo5.com.