Msanii wa muziki Q Chief amewataka wasanii kuacha kujiingiza kwenye bifu za wasanii au kwenye makundi kwani hatua hiyo inaweza kuwasababishia matatizo.

The post Q Chief awataka wasanii kuacha kujiingiza kwenye bifu za wasanii ‘Unaweza ukaingia ukajikuta unapoteza kila kitu’ (Video) appeared first on Bongo5.com.