Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt @faustine_ndugulile amewataka Watanzania kuacha kuamini taarifa za uzushi na uongo zilizozushwa juu yake kuwa anaumwa na kusema kuwa:-

“Mimi ni mzima wa afya, Taarifa zinazosambaa kuwa ninaugua na kalazwa hospitalini ni uzushi zipuuzwe.”

The post Ndugulile: “Mimi ni mzima siumwi, tupuuzie habari za uzushi kuwa naumwa” appeared first on Bongo5.com.