Shabiki kindakindaki wa Young Africans Sports Club, Mashaka Victory Kapingo maarufu kwa jina la ‘UTOPOLO’ amesema kuwa ipo haja ya TFF kuwapatia Simba Sports Club ubingwa wao wa Ligi Kuu Vodacom Tanzania kama endapo hali ya janga la virusi vya corona itaendelea kuwa mbaya.

The post Mzee wa Utopolo: Simba wapewe Ubingwa wao, haoji Yanga nguvu ya Buku ipo wapi (+Video) appeared first on Bongo5.com.