Msanii na Mtangazaji wa Cloud Plus @mwijaku ametoa maoni yake kuhusu CEO wa Clouds media @josephkusaga kuwataka Watangazaji wa kipindi cha Leo tena kucheza wimbo wowote wa @diamondplatnumz na @mwijaku kusema kwamba huo ndio Utakuwa mwanzo wa @diamondplatnumz kuanza kushinda tuzo.

@mwijaku ameongeza kuwa @diamondplatnumz kutokushinda tuzo za kimataifa ni kwa sababu nyimbo zake ziliachwa kuchezwa Clouds media.

Pia kwa Upande wa @lilommy alishinda tuzo kwa sababu baadhi ya Watangazaji wa Clouds walianza kumtaja kama @bdozen na wengine.

The post Mwijaku: “Nyimbo za Diamond kuanza kuchezwa Clouds ataanza kushinda tuzo, Alipotea kimataifa” – Video appeared first on Bongo5.com.