Dimba la Mo Simba Sc Arena linalomilikiwa na mabingwa wa nchi, Simba liko tayari kuanza kutumika siku ya Jumatano kwa ajili ya maandalizi ya mechi zilizobaki Ligi Kuu na kombe la FA
Tazama Mandhari ya viwanja hivyo vinaonekana kuwa katika ubora wa hali ya juu kabisa..
|
Muonekano wa Uwanja Kutoka Lango Moja kuelekea Lango Lingine la Goli |
|
Tazama Nyasi za Uwanja wa Mo Simba Sc Arena |
|
Upande wa Lango la Goli katika Dimba La Mo Arena |
|
Madhari ya Uwanja ni nadhifu, Viti katika baadhi ya Maeneo katika Uwanja huu |