Mchungaji Peter Mitimingi wa Kanisa la Ghala la Chakula cha Uzima (Warehouse Christian Centre-WCC) ambaye pia ni Mkurugenzi wa Voice of Hope Ministry (VHM) inayojihusisha na huduma ya injili vijijini amefariki Dunia akiwa Muhimbili kwenye matibabu.
Chanzo cha kifo chake kikielezwa kuwa alikuwa anaumwa Sukari na ilipanda, ikaanza homa ya mapafu kwasababu alikuwa Arusha akapigwa na mvua kukawa na baridi kali hiyo hali ikamsumbua na kupelekea kufariki.
The post Mfahamu mchungaji mitimingi aliyepoteza maisha na chanzo cha kifo chake appeared first on Bongo5.com.