Muandaaji wa Mashindano ya BSS, Madam Rita Ijumaa hii alitua Baraza la Sanaa Tanzania BASATA kwaajili ya kumalizana na Mshindi wa BSS mwaka 2019, Meshaki ambaye alidai kudhulumiwa pesa zake ambazo aliahidiwa kama mshindi. Naye Katibu Mtendaji wa Baraza hilo, Godfrey Mngereza amedai Meshak siye aliyeandika barua ya kulalamika kutolipwa kwa pesa zake.

The post Meshak wa BSS alivyomalizana na Madam Rita kuhusu zawadi “Natamani nirudie tena BSS” (Video) appeared first on Bongo5.com.