Abdulrahman Kinana alifungua kesi Mahakama Kuu ya Tanzania dhidi ya Peter Msigwa kutokana na matamshi aliyowahi kuyatoa dhidi yake ndani na Bunge akimhusisha na biashara ya ujangili na uuzaji wa nyara za Serikali.

Katika kesi hiyo iliyosikiliwa na kuhukumiwa na Jaji Zainab Muruke, Msigwa alishindwa kuthibitisha tuhuma zake hizo mbele ya Mahakama na hivyo kukutwa na hatia.
Amesema “Ninamuomba radhi Abdulrahman Kinana kwa matamshi yangu niliyotoa nikimhusisha na ujangili na uuzaji wa nyara za Serikali. Tuhuma hizo hazikuwa na ukweli wala ushahidi wowote, bali zilikuwa na malengo potofu ya kisiasa na kizandiki”

View this post on Instagram

#Bongo5Updates: MSIGWA AMUOMBA MSAMAHA KINANA KWA KUMUHUSISHA NA UJANGILI. Abdulrahman Kinana alifungua kesi Mahakama Kuu ya Tanzania dhidi ya Peter Msigwa kutokana na matamshi aliyowahi kuyatoa dhidi yake ndani na Bunge akimhusisha na biashara ya ujangili na uuzaji wa nyara za Serikali. Katika kesi hiyo iliyosikiliwa na kuhukumiwa na Jaji Zainab Muruke, Msigwa alishindwa kuthibitisha tuhuma zake hizo mbele ya Mahakama na hivyo kukutwa na hatia. Amesema "Ninamuomba radhi Abdulrahman Kinana kwa matamshi yangu niliyotoa nikimhusisha na ujangili na uuzaji wa nyara za Serikali. Tuhuma hizo hazikuwa na ukweli wala ushahidi wowote, bali zilikuwa na malengo potofu ya kisiasa na kizandiki" (📹 via Azamtv) by @el_mandle

A post shared by bongo5.com (@bongofive) on

The post Mbunge wa Iringa Chadema Peter Msigwa, Amuomba Kinana msamaha – Video appeared first on Bongo5.com.