Rais wa Marekani Bwana Donald Trump leo ametangaza nchi yake kujitoa rasmi shirika la afya Duniani.
Marekani huchangia 15% ya bajeti ya WHO na ndie mchangiaji mkubwa anayetegemewa.
Je, WHO itaweza kuishi bila mchango wa USA?
Je, ni wakati nchi zetu masikini kuanza kuchangia WHO?