“Niwatakie Watanzania wote Heri ya Sikukuu ya Eid El Fitri baada ya kukamilisha mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani. Wakati tunasherehekea Sikukuu hii nawakumbusha kuhakikisha kuwa mnazingatia maelekezo ya Wataalamu wetu wa Afya kuhusu kujikinga na maambukizi ya ugonjwa”

The post Makamu wa Rais “Nawatakia Eid njema, chukueni tahadhari za kujikinga na Covid 19” appeared first on Bongo5.com.