“Dereva Mtanzania ukivuka tu kwenye mpaka na Rwanda 🇷🇼 hapo Rusumo, anaonekana ameathirika na Corona. ”Ukisimamisha gari umebanwa na haja ndogo askari wanatuongoza wanakuamrisha urudi kwenye gari.”
”Tunatembea na chupa za maji ilitujistiri humo”

The post Madereva wa Tanzania “Tukifika mpakani mwa Rwanda tunafukuzwa na mawe wanatuita sisi Corona” – Video appeared first on Bongo5.com.