Madereva wa Malori zaidi ya sitini kutoka hapa nchini wamekumbana na changamoto eneo la Mpaka wa Namanga unaozitenganisha Tanzania na Kenya kwa kile kinachodaiwa Serikali ya Kenya kuanza kazi ya kuwapima Ugonjwa wa COVID 19 kwa mifumo ambayo madereva hao hawakubaliani nayo.

 

The post Madereva kutoka Tanzania walalamikia namna ya upimwaji wa Corona kwa upande wa Kenya – Video appeared first on Bongo5.com.