Mtangazaji wa Wasafi Fm Lilommy amefunguka mambo mengi sana kuhusu maisha yake ya kazi ya Utangazaji na hasa katika vituo viwili vya habari Wasafi akiwa anafayia kazi sasa hivi na Times Fm ambayo alikuwa akifanya mwanzo kabla ya kuhama.

Lilommy pia aliweza kumzungumzia Boss wake Diamond Platnumz na kumsifu kuwa anawekeza sana na sasa hivi anajenga Wasafi Tower ambayo itakuwa ya kwanza Afrika mashariki.

Msikilize Lilommy:-

The post Lilommy: “Diamond anawekeza sana anajenga Wasafi Tower, Ndio itakuwa ya kwanza Afrika mashariki” – Video appeared first on Bongo5.com.