Mtangazaji wa Wasafi Fm Lil Ommy amefunguka mengi sana kuhusu maisha yake mapya Wasafi media baada ya kuondoka Times Fm, Akiongea na Bongo5 Lil Ommy ameeleza kitu gani kimepelekea ajiunge na Wasafi Fm.

Mbali na hilo @lilommy ameongelea kuhusu maneno yanayoelezwa kuwa ndio alikuwa sababu kubwa ya @jonijooo Kuondoka Wasafi Fm
Pia akizungumzia baada ya kujiunga na Wasafi huenda baadhi ya Interview za wasanii ambao kibiashara hawako sawa na hiyo Kampuni.

The post Lil Ommy afunguka kilichompeleka Wasafi Fm, Kuhusu kilichopelekea Jonijoo kuondoka “Usitokee dirishani tokea mlangoni hujui kesho yako” – Video appeared first on Bongo5.com.