Mtangazaji wa Wasafi Fm Lil Ommy amefunguka mengi sana kuhusu maisha yake wakati yupo nje ya Wasafi na sasa akiwa Wasafi.

Mbali na hilo pia amezungumzia mazingira mapya ya kazi na kutokana na mpishano wa kibiashara huenda atakosa baadhi ya Interview za wasanii kadhaa ambao hawana maelewano na wasafi Lil Ommy alitoa majibu haya.

The post Lil Ommy aeleza utaratibu atakaotumia kufanya mahojiano na Alikiba, Harmonize na Ommy Dimpoz Wasafi – Video appeared first on Bongo5.com.