Label ya kusimamia muziki yenye makazi yake jijini Nairobi, Taurus Music, Leo tarehe 15 May imewatambulisha wasanii wake wawili ambao ni Tallie na Keemlf.  Awali ikumbukwe kuwa Taurus music imewahi kuwasimamia Lady Jaydee na Alicios Theluji.

Pia, Mpaka sasa inawasimamia wasanii kadhaa kutoka Kenya (Kagwe Mungai, Trina Mungai ) na Kundi la muziki kutoka Zambia (Urban hype).

Uongozi wa label hiyo umesema kwamba umejipanga vizuri kuhakikisha wasanii hao watafanya vizuri kutokana na uwezo wao.

The post Label ya Taurus Music yawatambulisha wasanii wapya wawili baada ya Lady Jaydee na Alicios kumaliza mkataba wao appeared first on Bongo5.com.