Kumukumbu: Leo imetimia miaka 7 tangu kufariki kwa Mkali wa Freestyle na HipHop hapa nchini Tanzania Albert Mangwair ambaye alifariki nchini Afrika ya Kusini akiwa na miaka 30.


Mangwair alizaliwa Novemba 16, 1982 na kufariki Mei 28, 2013 kisha amezikwa mkoani Morogoro, na ameacha mtoto mmoja.