Mtangazaji wa Wasafi Fm @jumalokole2 amefunguka mengi sana kuhusu maisha yake ya Wasafi na maisha aliyokuwa kabla ya kujiunga na Wasafi.

Mbali na hilo Juma Lokole pia amefunguka kuhusu sakata la Diamond kurudiana na Wema Sepetu na taarifa za pete lakini pia kuhusu sakata la Diva wa Clouds Fm kujiunga Wasafi.

Msikilize Juma.

The post Juma Lokole kuhusu Diamond kurudiana na Wema na kumvalisha pete, Diva kwenda Wasafi Mtangazaji mwingine anaodoka – Video appeared first on Bongo5.com.