Msanii wa muziki wa Bongo Fleva kutokea Konde Gang, Ibraah anaesimamiwa na Harmonize ameziachia nyimbo zake (5) zinazopatikana kwenye EP yake aliyoipa jina la STEPS.

Katika EP hio Ibrah amewashirikisha wasanii akiwemo Harmonize, Joeboy, Skiibii

Ibraah ft Harmonize – ONE NIGHT STAND

 

The post Ibrah wa Konde Gang aachia EP ya nyimbo tano, Harmonize Joeboy ndani – Audio appeared first on Bongo5.com.