Msanii mpya wa muziki wa Bongo Fleva @ibraah_tz kutoka @kondegang amefunguka kuhusu maisha yake na jinsi alivyokutana na @harmonize_tz


Akiongea na Bongo5 @ibraah_tz amesema kuwa kwa mara ya kwanza kuonana na @harmonize_tz hakuamini na alimwambia aimbe ili amsikilize alitetemeka sana.na kuongeza kuwa hapendi vile watu wanavyomfananisha na wasanii wengine kwenye mitandao.

The post Ibrah wa Harmonize “Sipendi watu wanavyonifananisha na wengine, Ilichukua zaidi ya mwaka kutambulishwa Konde Gang” – Video appeared first on Bongo5.com.