Msanii mpya wa muziki wa Bongo Fleva Ibrah kutokea lebo ya Konde Gang iliyopo chini ya Harmonize, amefunguka mengi sana kuhusu maisha yake kabla ya kutambulishwa Konde Gang na Harmonize.
Akiongea na Bongo5 Ibrah ameeleza kuwa alikuwa akilala jikoni kwa Harmonize kabla ya kutambuliushwa, na kuelezea au kutolea uafafanuzi juu ya maneno ambayo yanasambaa kuwa ameiba wimbo wa Hamis wa BSS.
The post Ibrah “Nimelala sana jikoni ofisi za Konde Gang , Eti nimeiba wimbo wa Hamis wa BSS” – Video appeared first on Bongo5.com.