Afisa habari wa Simba SC, Haji Manara amefunguka kuhusu Mshambuliaji wao Meddie Kagere kuhusishwa kutakiwa na klabu ya Levante UD inayoshiriki ligi kuu nchini Hispania LaLiga na Jonas Mkude kuhusishwa na TP Mazembe kutoka Lubumbashi nchini Congo.

Siku za hivi karibuni wakala wa Meddie Kagere, Patrick Gakumba amesikika akieleza kuhusu mazungumzo yake na klabu ya Levante juu ya kuhitaji huduma ya Mrwanda huyo mwenye umri wa miaka 33.

The post Haji Manara afunguka kuhusu Ofa za Kagere kumfuata Messi Hispania, dili la Mkude na TP Mazembe (+Video) appeared first on Bongo5.com.