Wiki iliyopita kuibuka mzozo wa Burnaboy na Diamond nani mkali

Jana kwenye show ya MTV Base Afrika kijana wetu kagongelea msumari hakuna wa kumzidi kwenye perfomance stejini au kokote akifanya show

Katika channel ya Youtube ya MTV Base Africa katika comments 1650, hadi sasa wengi waliokomenti ni watu wa nje na katika comments hizo asilimia takribani watu 9 katika kila watu 10 wamemzungumzia na kumpongeza msanii wetu Diamond Platnumz

Watu kutoka pande marekani, dubai, london, nk walitoa yao ya moyoni