Siku ya jana kulikuwa na Tamasha la Africa day benefit Concert lililoandaliwa na MTVBASA huku host wa tamasha hilo akiwa muigizaji kutokea nchini Uingereza Idris Elba na lilikuwalikiruka Live kupitia ukurasa wa Youtube wa MTVBASE.

Katika Tamsha hilo walipata nafasi ya kuperfom wasanii wegi sana lakini moja ya wasanii ambao walifanya vizuri ni Diamond Platnumz kutoka Tanzania, Davido Nigeria na Burna Boy Nigeria, Lakini pia Nandy na Sauti Sol walipata nafasi na walifanya vizuri.

 

 

 

The post Diamond, Davido Burna Boy Nandy na wengine watikisa Tamasha la Africaday – Video appeared first on Bongo5.com.