BREAKING: Rais Magufuli Atengua Uteuzi wa Naibu Waziri wa Afya Dkt. Faustine Ndugulile......Dkt. Godwin Mollel Kateuliwa Kuchukua Nafasi Hiyo
Rais Magufuli amemteua Dkt. Godwin Mollel (Mbunge wa Siha) kuwa Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto kuanzia leo akichukua nafasi ya Dkt. Faustine Ndugulile (Mbunge wa Kigamboni) ambaye uteuzi wake umetenguliwa.