Wamiliki wa vibanda vya kuonyeshea mpira maarufu kwa jina la vibanda umiza mkoani Morogoro wameanza maandalizi ya kukabiliana na wingi wa wateja baada ya kusikia uwezekano wa kuruhusu kuendelea kwa ligi kuu Tanzania bara pasipo kuwa na mashabiki uwanjani.