Label ya Black Market Record imetangaza kumsaini msanii wa muziki toka nchini Uganda, Bruno Kiggundu Collins ajulikanae kama Bruno K. Muimbaji huyo alizaliwa tarehe 21/07/1992 Kampala Uganda. Ni msanii ambaye ana uwezo wa kuimba muziki wa aina mbalimbali za miziki kama vile Reggae, Dancehall, RnB na Afro Pop.

The post Black Market Record yamtambulisha msanii mpya kutoka Uganda, Bruno Kiggundu (Video) appeared first on Bongo5.com.