Akiongea katika kipindicha XXL kinachoruka katika kituo cha Clouds Fm Alikiba amefunguka na kusema kuwa:-

“Mnamjua Diva jinsi alivyo anapenda kuapia kwa watu, Lakini pia kila mtu anamfanya ajisikie comfortable na mimi alinifanya nikajisikia comfortable sana, ila kwenye suala la mapezi sijawahi kuwa nae, Ingawa alishawahi kuwa rafiki yangu wa karibu sana, Diva ni mtu mzuri sana na nawaomba watu wayaache hayo mambo yalivyo na hivi vitu ambavyo vimetokea waviache vilivyo pia watu waache kum critisize kwa hao yaliyotokea”

The post Alikiba amzungumzia Diva “Sikuwahi kuwa ane kwenye mahusiano ila alinifanya niwe comfortable sana” – Video appeared first on Bongo5.com.