RC wa Morogoro, Loata Ole Sanare amemuagiza Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Morogoro kumsimamisha kazi afisa mapato wa halmashauri hiyo Charles Komba kwa madai ya utoro kazini na kutohudhuria kikao cha baraza maalum la madiwani.

The post Afisa mapato kusimamishwa kazi kwa kosa la utoro (+Video) appeared first on Bongo5.com.