Afande Sele "Idriss Sultan Anatumwa na Wanasiasa wa Upinzani Ambao Wamepoteza Dira"

Msanii wa muziki nchini Tanzania Selemani Msindi maarufu Afande Sele amesema, watu wanaompigania msanii Idris Sultan wengi wao ni wanasiasa wa upinzani na wanampigania kwa kuwa Idris alilenga katika kumdhalilisha na kumfedhehesha Rais Dk @MagufuliJP kitu ambacho wapinzani hupenda
-
"Kwa kuwa hili si kosa la kwanza kulifanya, inadhihirisha wazi kuwa Idris Sultan anatumwa na wanaomtuma ni hao wanaompigania ambao ni wanasiasa wa upinzani ambao kimsingi wamepoteza dira na upinzani wao hauna tija" - afandesele, Msanii wa Muziki