Msanii wa muziki Zuchu amefunguka kwa kudai kwamba amekuwa akihusiwa na bosi wake Diamond kuhusiana na masuala ya wanaume. Muimbaji huyo ambaye amedai kwa sasa hayupo kwenye mahusiano, amesema bosi wake anaogopa sana mambo ya ajabu yasije yakatokea.

 

The post Zuchu: Diamond amenikalisha mara nyingi kisa wanaume, anaogopa sana (Video) appeared first on Bongo5.com.