Muimbaji @officialzuchu kutoka WCB amefunguka mambo mengi kuhusu maisha yake ya miaka 4 akiwa WCB kabda ya kutangazwa rasmi. Amesema kipindi Harmonize amekorofishana na uongozi wake za zamani wa WCB alijua ndio basi tena Diamond hawezi sajili wasanii wapya.

The post Zuchu adai sakata la Harmonize kuondoka WCB lilimuathiri “Nilijua Diamond hawezi tena kusaini wasanii wapya” (Video) appeared first on Bongo5.com.