Wizara ya Afya Zanzibar imetoa taarifa ya kuongezeka kwa wagonjwa sita wa Covid-19 unaosababishwa na virusi vya Corona na kufanya idadi ya wagonjwa kufikia 18 visiwani humo. Katika wagonjwa hao, watano ni raia wa Tanzania na mmoja raia wa Misri.

The post Zanzibar yatangaza kifo cha Corona, wagonjwa 6 waongezeka na kufikia 18 appeared first on Bongo5.com.