Naibu Waziri wa Afya nchini Kenya, Dr Mercy Mwangangi amesema watu wawili wamefariki kutokana COVID-19 nchini humo, ambapo hivi sasa jumla ya watu 14 wamefariki tangu kisa cha kwanza kiliporipotiwa.

Pia watu 8 wamepatikana na maambukizi na kufanya idadi yao kufikia 270.