Katika kuhakikisha elimu sahihi na muhimu kuhusu jinsi ya kujikinga na ugonjwa wa COVID-19 inafika na hasa kwa wananchi wa maeneo ya vijijini.

Waziri wa Ardhi ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Isimani (CCM) William Lukuvi ametoa msaada wa TV 40 kwa lego la wananchi waweza kupata elimu kuhusu Corona namna wanavyotakiwa kujikinga ili kuepukana na maambuki ya Covid 19.

The post Waziri Lukuvi atoa msaada wa Tv vijijini, Watu wapate ili ya kujikinga na Corona – Video appeared first on Bongo5.com.