
Wananchi wa jiji la Dar es Salaam wakinawa mikono katika kituo Daladala Mbezi Luis wilaya ya Ubungo, kabla ya kuingia ndani ya daladala ili kujikinga na maambukizi ya virusi vya corona kama inavyoonekana pichani.(Picha na Emmanuel Massak)
Wananchi wa jiji la Dar es Salaam wakinawa mikono katika kituo daladala Mbagala rangi Tatu wilaya ya Temeke kabla ya kuingia ndani ya daladala ili kujikinga na maambukizi ya virusi vya corona kama inavyoonekana pichani.(Picha na Emmanuel Massaka wa Michuzi Tv)